Deuteronomy 12:27

27 aLeteni sadaka zenu za kuteketezwa juu ya madhabahu ya Bwana Mwenyezi Mungu wenu, vyote nyama na damu. Damu ya dhabihu zenu lazima imiminwe kando ya madhabahu ya Bwana Mwenyezi Mungu wenu, lakini nyama mnaweza kula.
Copyright information for SwhKC